Latest Posts

DC SERENGETI NA DED WAPONGEZWA NA MWENGE WA UHURU

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ismail Ali Ussi amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Bi.Angle Marko na Mkurugenzi wa  Halmashauri hiyo Dkt Maulid Madeni kwa usimamizi wa miradi inayopelekwa na Serikali wilayani humo.

Pongezi hizo zimetolewa na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Wilayani humo wakati wakuweka mawe ya Msingi, kutembelea na kuzindua Miradi 8 yenye thaman ya shilingi Bilioni 2.6.

“Tumepita katika Miradi ya Elimu,Maji,Afya pamoja  na Mazingira Miradi inaubora na unaoridhisha Endeleen kumsaidia Rais DKT Samia Suluhu Hassan hivi nyinyi niwazalendo”Alisema Ismail Ali Ussi kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025.

Katika pongezi hizo mkurugenzi wa Halmashauri hiyo nikuhusinaa na utoaji wa fedha za Asilimia 10 Vijana na watu wenye Ulemavu ambapo agizo la DK Samia Suluhu Hassan limetekelezwa kwa Asilimia 100

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!