Latest Posts

ISSA NGASHA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA NG’APA.

 

Mgombea udiwani kata ya Ng’apa Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg Issa Ngasha amekabidhiwa fomu ya kugombea udiwani katika ofisi za kata hiyo leo Jumatano Agosti 20, 2025 na msimamizi msaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata ya Ng’apa ndugu Bakari Mnolea.

Mara baada ya kukamilisha zoezi hilo, Issa Ngasha amekishukuru chama chake kwa kumteua kugombea na imani kubwa aliyonayo kupitia michakato mbalimbali iliyofanyika kuwapata wagombea kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, mwaka huu.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!