Kampuni ya GF imesherekea ushindi wa Ujumla Kwa washiriku wa Maonesho ya Sabasaba Kwa namna yake, ambapo Robot alishiriki kwenye kusherekea ushindi huo ulioongozwa na Band maalum ya Police.
Hata hivyo Wakati akipokea Tuzo hiyo Mkurugenzi wa GF, Alijawad Karmali amesema Tuzo hiyo inaleta chachu ya kufanya vizuri zaidi Kwa Miaka mwingine katika Maonesho hayo.
Kupitia Maonesho hayo ya Sabasaba, GF imeweza kuwafikia Watanzania wengi ambao walifika kufatilia bidhaa zao za Magari.