“Tunashukuru sana kwa hii Wizara ya Vijana iliyoundwa tunaona hata sisi sasa tutafikiwa kwasababu kuna wakati mawazo yetu tulikosa hata pa kuyapeleka kwahiyo kwa ujio wa Wizara hii ya Maendeleo ya Vijana naamini tutaitumia kuwasilisha mawazo na maoni yetu.”- Denis Faustine, Mkazi wa Ilala Mkoani Dar Es Salaam akizungumza leo Alhamisi Novemba 20, 2025.