Sikuwahi kuelewa kwa nini nilivutwa naye kwa nguvu ya ajabu. Nilikuwa nimemaliza uhusiano wenye maumivu makali na niliapa sitapenda tena haraka.
Lakini aliponitokea, ilikuwa kama siwezi kujizuia. Sauti yake, macho yake, kila kitu kilinitia mzimu wa mapenzi ambao siwezi kueleza hadi leo. Nilianza kumwota kabla hata hajanitongoza.
Tulikutana ofisini, na ndani ya wiki moja tayari nilikuwa nikihisi kama tumefahamiana miaka mingi. Alikuwa mkarimu, tajiri, mpole, na kila nilichokitamani kwa mwanaume. Lakini kuna kitu kilianza kunisumbua kila nilipokaa naye, moyo wangu ulipiga…Soma zaidi hapa