Sijawahi kuwa mtu wa kuchunguza simu ya mume wangu. Kwa miaka mitano ya ndoa, nilijifunza kuamini kuwa imani ndiyo msingi wa maisha ya pamoja. Tulikuwa tunaelewana, tukicheka pamoja, hata kujiita “best friends.” Lakini sikujua kuwa mtu anaweza kulala na nyoka mmoja mlangoni na bado akajisifu amejenga hekalu salama.
Siku ambayo kila kitu kilibadilika, ilikuwa siku ya Jumapili. Mume wangu, Andrew, alikuwa ameenda kanisani mapema kuliko kawaida. Aliniacha na mtoto wetu mdogo nyumbani, akaniambia atakutana na mchungaji kwa maombi maalum. Saa mbili baadaye, nilipata ujumbe wa WhatsApp kwenye simu yake niliiona tu kwa bahati mbaya. Ilikuwa imeandikwa….Soma zaidi hapa.