Naitwa David, tangu nilipoanza kufanya kazi katika shirika ambalo ninafanya kazi sasa, sikuwahi kupata nafasi ya kumvutia Bosi wangu, alikuwa mtu mgumu sana, kwa hivyo wakati mwingine ilikuwa vigumu kwangu kuelewana naye.

Kwa bahati wale ambao alioelewana naye ndio waliopatana nafasi ya kupandishwa daraja au kupata nyongeza ya mshahara, nilihisi kwamba hakuniona hata kidogo licha ya kazi nzuri nilizokuwa nafanya.
Niliamua kuwa mfanyakazi bora kwa kwenda kazini mapema, kufanya kazi zaidi na kufanya kazi hata masaa ya ziada lakini baada ya miezi michache, alimpandisha daraja mtu mwingine na kuniambia kuwa bado sijafika hatua hiyo. Soma zaidi hapa.