Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza. Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha. Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini. Mwanamke ambaye ana gari, biashara, na nyumba kubwa. Nilishindwa kuamini. Nilidhani ni uzushi.
Mpaka nilipoona picha yao WhatsApp wakiwa kwenye dinner ya kifahari. Caption ilikuwa “With my king ❤️”. Nilifreeze. Sikujua hata nilikuwa napumua. Nilikaa kitandani siku mbili bila kula. Machozi yalikuwa chakula changu. Niliumia mpaka nikaona kama moyo wangu umeparaganyika vipande. Soma zaidi hapa.