Latest Posts

Jamani anataka turudiane akidai mimba ni yake, nifanyaje?

Naitwa Sonia kutokea Tanga, niliolewa mwaka 2010 huku huku Mombasa nikiwa kama mke wa pili kwa mume wangu ambaye mke wake wa kwanza alikuwa ameshajaliwa naye watoto wawili.

 

Hii ni ndoa ambayo nilipitia mambo mengi sana kiasi kwamba kamwe siwezi kuja kusahau kabisa maishani mwangu, hiyo ni kutokana sikuweza kubeba ujauzito mapema kama ambavyo mume wangu alitarajia.

Baada ya miaka kama mitatu ndani ya ndoa, mume wangu alianza kupunguza mapenzi aliyokuwa akinipa na kunionyesha kama mke mdogo, mara nyingi alikuwa akikaa zaidi na mke mkubwa. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!