Taharuki ilitanda katika kituo cha mabasi cha Jamatini jijini Dodoma baada ya mwanamke mmoja kuanza kupiga mayowe kwa maumivu makali sehemu za siri, hali iliyowaacha mashuhuda wakibaki midomo wazi na wakijikuna vichwa.
Kwa mujibu wa walioshuhudia tukio hilo la kusikitisha, mwanamke huyo alionekana akitembea kawaida kabla ya ghafla kuanguka chini, kujikunja, na kuanza kulia kwa uchungu huku akishika sehemu zake za siri kwa nguvu na kupiga kelele zisizoeleweka.
“Alikuwa anaonekana mzima tu, lakini ghafla alianza kupiga kelele akisema ‘Inaungua! Inaungua!’ huku akijiviringisha ardhini. Ilikuwa kama sinema ya bongo movie,” alisema mama mmoja mfanyabiashara wa matunda katika kituo hicho.
Mashuhuda wengine walisema…Soma zaidi hapa.