Naitwa Meena kutoka katika Arusha, tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne, tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote ambalo likuwa kikwazo katika uhusiano wetu.
Baadaye alipata kazi Dar es Salaam, tulikubaliana kuwa aende kufanya kazi hiyo na mimi ningebaki kijijini na watoto, kila mwezi alikuwa akinitumia fedha za kufanya shuguli mbalimbali pale nyumbani kwetu. Soma zaidi hapa.