Latest Posts

Alisema Hataki Watoto Leo Anatuma Video Akinunua Diapers Kwa Furaha

 

Siku zote nilijua ninataka kuwa mama. Nililelewa kwenye familia ya upendo, na ndoto yangu kubwa baada ya ndoa ilikuwa ni kulea mtoto wetu mwenyewe. Lakini mume wangu hakuwa na mtazamo huo.

 

Alinieleza mapema kabla ya ndoa kwamba kwa sasa hataki mtoto, na labda hata hana mpango wa kuwa mzazi kabisa. Nilidhani angetulia baada ya ndoa, lakini sikujua kwamba kauli hiyo ilikuwa ya kweli kabisa.

Tulipooana, mwaka wa kwanza ulipita na nilipojaribu kuleta mada ya mtoto, alikwepa. Mwaka wa pili, alikua mkali zaidi. Alisema wazi: “Mimi sitaki mtoto. Nisingependa kulea dunia hii ilivyo.” Maneno hayo yalinichoma.

Kila nikiona watoto wa rafiki zangu, kila ninapoona diaper kwenye duka, au baby shower kwenye Instagram, moyo wangu ulikua unazimia kwa ndani. Nilianza kuwa na huzuni isiyoisha. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!