Latest Posts

Baada ya Miaka 7 ya Ndoa, Mume Wangu Aliniacha na Mtoto, Lakini Ndani ya Siku 3 Alirudi Akiomba Msamaha Bila Kushinikizwa

Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeamka na neno “imekwisha” likiwa limeandikwa kwenye karatasi ndogo mezani. Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mabadiliko mabaya kabisa katika maisha yangu ya ndoa.

Mume wangu, ambaye tuliishi naye kwa amani kwa miaka saba, alikuwa ameondoka. Hakukuwa na ugomvi mkubwa siku ya mwisho, hakuna maneno ya matusi, wala dalili za kutengana.

Aliondoka kimyakimya, akaniachia mtoto wetu wa miaka minne, na maisha yakaendelea kana kwamba mimi sikuwahi kuwepo kwake. Siku zilisonga. Mwezi wa kwanza nilidhani ni hasira.  Wa pili nikadhani labda ni mgogoro wa kisaikolojia unaoweza kutibika. Soma zaidi hapa

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!