Latest Posts

Bibi Avuruga Matanga Kwa Vurugu Akidai Marehemu Alikuwa Akilala Naye Kwa Siri    

Kilio kilikuwa kimetanda. Familia, marafiki na majirani walikuwa wamekusanyika katika kijiji kimoja wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, kwa ajili ya kumpa heshima za mwisho mzee maarufu aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Lakini badala ya shughuli ya kawaida ya matanga, tukio la kushangaza liligeuka gumzo la mtaa mzima.

Wakati familia ya marehemu ikisubiri jeneza kushushwa kutoka kwenye gari la mazishi, mwanamke mmoja aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 aliingia kwa fujo. Alikuwa amevaa kanga moja tu na kichwa hakikufungwa, macho yakiwa mekundu kama mtu aliyelia usiku kucha. Alianza kupiga kelele: “Msinizuie leo! Huyu marehemu alikuwa wangu, alikuwa analala na mimi kwa siri! Na hajaniaga!”

Watu waliobaki midomo wazi hawakuamini maneno hayo. Wake wa marehemu walikuwa wawili waliotambulika hadharani wote waliokuwa wamekaa mbele kwa heshima. Huyu bibi hakuwa mmoja wao. Lakini hata kabla ya watu kumsogelea, aliendelea kwa jazba.

“Huyu mzee alikaa kwangu kwa miezi miwili kabla hajalazwa hospitalini! Hata pesa za mahitaji alikuwa ananiwekea Mpesa kila wiki!” alisisitiza huku akirusha vumbi na kulazimisha kuingia karibu na jeneza. “Msinizuie kumuaga mpenzi wangu!” Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!