Latest Posts

Duh! Wezi wachapa usingizi mbele ya biashara

Naitwa Musa, kuna wakati mmoja niliibiwa kwenye duka langu jambo ambalo lilinirudisha nyuma kwa kiwango kikubwa, hivyo ilinilazimu kufunga biashara yangu ghafla kwa kukosa fedha za kuendesha biashara ile.

Jambo hilo liliniuma sana na kwa kuwa sikuwa na uwezo wa kuwapata wahuni hao na kuwaadhibu, nilienda katika kituo cha polisi kuweza kuripoti kisa hicho ili kuwezeshwa kupatikana kwa bidhaa zangu zilizoibwa.

Ni mwaka moja sasa, hakuna yeyote aliyenaswa kwa wizi huo na kila wakati ninapokitembelea kituo hicho cha polisi hua napewa ahadi kuwa wako mbioni kuweza kuwanasa majambazi hao. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!