Latest Posts

Huyu kijana aliiba nguo yangu ya ndani ili nisiolewe baada ya kumkataa!

James alikuwa kijana ambaye anaishi mtaani kwetu, tuliweza kujuana na kuonana mara kwa mara, siku moja natoka Stand ya Buza ili niende nyumbani, nikakutana na James na kuniomba namba yangu ya simu, bila tatizo niliweza kumpatia.

Usiku huo James aliweza kunipigia simu na kuniomba tuwe wapenzi, maneno hayo yalinishtua kwa sababu alikuwa miongoni mwa vijana wanaosifika kwa kuwa na tabia mbaya mtaani kwetu.

Sikuweza kumkubalia ombi lake kutokana na tabia yake, pia hakuwa na sifa ambazo nilizipenda, baada ya kukataa ombi lake ilikuwa vita kwangu, mara kunitumia marafiki zake na kusema maneno machafu juu yangu, na muda mwingine kunifanyia fujo hadi kunipiga. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!