Latest Posts

Ijue nguvu ya nyota katika kufanikiwa kibiashara

Kwa miaka mingi nilikuwa nawasikia watu wakisema kuwa ni muhimu kujua nyota yako ipo wapi hasa upande wa biashara ili kufanikiwa lakini sikuweza kutilia maanani kabisa.

Kwa kifupi katika maisha yangu sikuwahi kuamini katika kitu kinaitwa nyota, niliamini sana katika bidii yangu na mtandao wa marafiki niliokuwa nao.

Nilifungua biashara yangu ya kuuza chakula (restaurant) maeneo ya mjini, mwanzo biashara ilianza vizuri kwani wateja walikuwepo wa kutosha.

Kwa hakika naweza kusema kwa wakati huo niliona faida ya biashara ile hata kuanza kuwaza kufungua nyingine mtaa wa jirani ili kuongeza mtaji zaidi.

Hata hivyo, nikiwa katika wazo, ghafla wateja walianza….Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!