Latest Posts

KARIBU KUTOA MAONI YA MKUMBI 2

#AD

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji   inaendelea na zoezi la kukusanya maoni kwa lengo la kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)

Wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wa maendeleo mnakaribishwa kutoa maoni yatakayowezesha kuandaa MKUMBI II unaoakisi hali halisi.

Ili kutoa  maoni yako tafadhali bofya link katika Bio yetu ambayo itakupeleka katika dodoso au tuma email  kupitia : maoni.mkumbi@planninginvestment.go.tz

Au Bofya hapa kujaza Dodoso

https://mkumbi2maoni.planninginvestment.go.tz/questionnaire/qn

Au Scan QR  katika bango hapo juu

Maoni yako ni muhimu katika kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!