Jina langu ni Aisha mkazi wa Tabora mjini, ni msichana mrembo tena sana nasema hivyo kwa sababu kila ninapopita wanaume wanageuza shingo zao na kunitazama mara nyingine tena kutokana na umbo, rangi na muonekano wangu kwa ujumla.

Hivyo kila mara niliombwa namba ya simu, kila mmoja akitoa maneno mazuri na kuniomba niwe mke wake wa ndoa, tatizo kila mwanaume ambaye nilimkubali alikuwa ananishangaa kwa kuwa sikuwa na maziwa makubwa kama wanawake wengine walivyo.
Maneno yalianza kusambaa mtaani kwetu kuwa mimi nina jinsia mbili, na wengine kusema kuwa mimi siyo mwanamke kama wanawake wengine. Soma zaidi hapa