Sikuwahi kuelewa kwa nini kila mara ninapopata faida nzuri kwenye biashara yangu, jambo la ajabu lazima litokee. Wakati mwingine moto ulizuka ghafla sehemu ya ghala yangu bila sababu ya msingi.
Mara nyingine niliporwa na majambazi usiku kucha, licha ya kuwa nilikuwa nimesajili huduma ya walinzi binafsi. Lakini kilichoumiza zaidi ni wakati nilipoanza kuamini kuwa pengine mimi ndiye mkosi kwa biashara yangu.
Biashara yangu ya kuuza vifaa vya ujenzi ilikuwa inaenda vizuri mwanzoni. Nilikuwa na wateja wa kudumu, na kila mwezi nilikuwa na uhakika wa faida. Lakini hali ilianza kubadilika ghafla. Soma zaidi hapa.