“Nilimpenda sana lakini nikarudi kwa bibi yangu wa zamani kwa sababu yeye ananielewa, si kama huyu wa sasa.”
Niliganda pale pale. Sauti yangu ilikauka. Nilijua alikuwa akimaanisha mimi. Tulikuwa kwenye mahusiano kwa miaka miwili, tukipanga ndoa, na kila mtu alitujua kuwa wapenzi wa mfano. Lakini kwa kipindi cha mwezi mmoja tu alibadilika. Hakujibu simu, alikwepa kukutana nami, na ghafla nikamuona kwenye TV akielezea kuhusu ‘mwanamke wa zamani’ aliyemrudisha kwenye ‘amani yake ya zamani.’
Sikutaka kumlilia mbele za watu lakini moyo wangu ulikuwa umevunjika vipande vidogo. Marafiki zangu walinitumia video hiyo mara kadhaa, baadhi kwa kushangaa, wengine wakinishauri ni move on. Lakini sikujua pa kuanzia. Nilimpenda kweli, na kilichoniumiza zaidi ni kwamba sikuelewa kosa langu. Soma zaidi hapa