Kama kuna jambo lililowahi kunikata tamaa kimaisha, basi ni kutuma maombi ya tenda zaidi ya kumi na mbili, kila moja ikiwa na maandalizi ya gharama kubwa, lakini sikuwahi kushinda hata moja.
Nilikuwa mfanyabiashara wa kati, mwenye uwezo wa kutekeleza kazi, mwenye timu, vifaa, hata uzoefu lakini bado jina langu halikuwahi kuitwa hata mara moja kwenye orodha ya waliofanikiwa.
Nilianza biashara yangu ya ujenzi mwaka 2016. Nilianza kwa kazi ndogo ndogo kukarabati majumba, kuweka paa, hata kujenga nyumba ndogo kwa watu binafsi. Nikiwa na uzoefu huo, nilianza kutuma maombi ya zabuni za serikali na mashirika.
Niliamini kabisa kuwa uwezo wangu ungeonekana kupitia nyaraka, lakini nilijidanganya. Mara ya kwanza nilipoomba tenda ya kujenga darasa, niliambiwa niliingia tano bora, lakini sikupewa sababu ya kutokupitishwa. Soma zaidi hapa