Sikuwahi kufikiria kwamba ningeweza kulinda nyumba yangu bila msaada wa polisi. Kwa muda mrefu, wizi mdogo mdogo ulikuwa umenifanya nishindwe hata kulala kwa amani. Ilianza taratibu kwanza kuku mmoja alitoweka, kisha mbuzi, halafu vifaa vya ndani kama sufuria, ndoo na hata jiko la mkaa.
Nilianza kuhisi labda ni watoto wa mtaani, au mtu wa karibu anayeijua nyumba yangu vizuri. Lakini kila nilipojaribu kufuatilia, kila mtu alijifanya hana habari. Nilichukizwa zaidi siku nilipokuta mlango wa stoo yangu umefunguliwa kwa nguvu na magunia mawili ya mahindi yamepotea.
Wakati huo, nilihisi kitu ndani yangu kilipasuka. Nilijihisi mnyonge, nikiwa sina msaada. Niliripoti kwa mjumbe wa mtaa na hata nikaelekea kituo cha polisi, lakini majibu yalikuwa yale yale: “Kama huna ushahidi wa nani alichukua, tutafanya tu doria.”
Hali hiyo ilinifanya nijutie kuhamia mtaa huu. Sikuwahi kuwa mtu wa…Soma zaidi hapa.