Sikuwahi kufikiria kuwa jina langu lingewekwa kwenye jalada la kesi ya ubakaji. Mimi ambaye nililelewa kwa maadili ya heshima, na nilikuwa nikiheshimu wanawake kuliko kitu chochote. Lakini yote yalibadilika siku moja, ghafla, maisha yangu yakageuka kuwa jinamizi.
Kila kitu kilianza baada ya bonge la hafla tuliyoalikwa kama vijana wa kujitolea wa shirika fulani la kijamii. Kulikuwa na msichana mmoja, Jane, tuliyekuwa tukifanya naye kazi kwa karibu. Tulikuwa marafiki wa kawaida.
Sikutarajia chochote zaidi ya hivyo. Lakini baada ya tukio lile, nilianza kupokea ujumbe wa ajabu kutoka kwake, akinitongoza waziwazi. Nilimkataa kwa heshima, lakini…Soma zaidi hapa.