Jina langu ni Doris Wambui, na kwa muda mrefu nilihisi kama ndoa yangu ilikuwa ikielekea mwisho. Nilimpenda sana mume wangu, lakini mambo yalibadilika ghafla baada ya kuanza kukosa hamu ya tendo la ndoa. Mwili wangu ulikuwa mkavu, sikuwa najisikia kama mwanamke tena, na kila usiku nilijikuta nikijitenga kitandani nikihofia kumkera.
Kila mara niliona aibu, na polepole ukaribu wetu ukaanza kufifia. Mume wangu alianza kulala akiwa amegeukia upande mwingine na mara nyingi alitoa visingizio vya uchovu. Nilijua tatizo lipo kwangu, na moyo wangu ulianza kuumia kila siku.
Nilijaribu kutumia mafuta ya dukani, vinywaji vya kuongeza nguvu, na hata kushauriana na marafiki, lakini hakuna kilichobadilika. Nilihisi kama nimepoteza utu wangu wa kike. Kulikuwa na usiku mmoja nilijaribu kumkaribia mume wangu, lakini alinigeukia na kusema “leo nimeshinda nikiwa nimechoka sana.” Soma zaidi hapa.