Latest Posts

UJENZI WA VYOO NA UNUNUZI WA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WAWAIBUA TEA NA KUUNGA MKONO JITIHADA HIZO

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na East Africa Radio na East Africa TV kwa pamoja imeandaa matembezi ya hisani kwa lengo la kuhamasisha ujenzi wa matundu ya vyoo na ununuzi wa taulo za kike, kwa wanafunzi wanaosoma katika mazingira magumu.

Matembezi hayo yatafanyika Agosti 25, 2024 kwa undani wa taarifa hii tafadhali tazama na soma kiperurushi hiki hapa chini

 

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!