Latest Posts

VIONGOZI WA BUNGE WASHIRIKI MAFUNZO UENDESHAJI SHUGHULI ZA BUNGE

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uongozi, Ndg. Kadari Singo, amewasilisha mada kuhusu Uongozi wa kimkakati katika Uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Tume ya Utumishi wa Bunge na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika leo tarehe 17 Februari, 2026 katika Ofisi ndogo za Bunge, Tunguu-Zanzibar.

Mafunzo hayo ya siku tatu (3) yameendelea  tarehe 17 na yanategemewa kuhitimishwa leo tarehe 18 Februari, 2026.

Viongozi mbalimbali wa Bunge wameshiriki katika mafunzo hayo akiwemo Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Naibu Spika, Mhe. Daniel Sillo na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!