Hadi sasa naweza kusema katika maisha kila jambo huwa na wakati wake, huwezi kulazimisha mambo kutokea wakati muda wake bado hajafika, ni kama kifaranga cha kuku, ukipasua yai kabla ya muda wake huwezi kupata kifaranga.
Ndivyo ilivyokuwa katika maisha yangu na yale niliyopitia katika ndoa zangu tatu za mwamzo, kila mwanaume ambaye alinioa alitaka nimzalie mtoto na alipoona muda unaenda bila kushika ujauzito alifunikuza.
Hakuna ubishi ni kwamba walishindwa kujua ni muda wangu wa kuzaa mtoto haujafika. Nilikuwa najipa moyo kuwa kuna muda wangu utafika lakini muda nilikaaa na kuwa na mawazo sana hasa nilipoachana na mume wangu wa tatu. Soma zaidi hapa.