Kwa miaka nane, nilihangaika kwenye mahusiano yaliyokuwa na maumivu tu. Nilivumilia udhalilishaji, nililipa kodi ya nyumba kwa wanaume wasiokuwa na kazi, nilishuhudia wanaume wakinipenda mchana na kunisaliti usiku. Kuna wakati mmoja nilimkuta mchumba wangu wa wakati huo amelala na mpango wake wa kando kitandani kwangu. Nilihisi dunia imenimeza.
Nilikuwa nimefikia mahali ambapo nilijiona sifai kupendwa. Nilijiambia pengine mimi siyo mrembo, au kuna kitu kibaya ndani yangu kinachowafanya wanaume kunitumia kisha kunitupa. Nilijaribu kubadilika kubadilisha mtindo wa nywele, mavazi, tabia… lakini bado nilikuwa naishia kuumizwa.
Siku moja nilikuwa kwenye saluni moja maeneo ya Morogoro mjini….Soma zaidi hapa.