Latest Posts

MAMCU WAUZA UFUTA ZAIDI YA TANI ELFU 6 NA CHOROKO ZAIDI YA TANI 75

Chama Kikuu Cha Ushirika kinachohudumia wilaya za Nanyumbu, Masasi na Mtwara MAMCU kimefanya mnada wa kwanza wa zao la Ufuta kwa mwaka 2025,2026 na kuuza jumla ya Tani 6,102.

Mnada huo umeendeshwa kwa njia ya mtandao kupitia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) Juni 13, 2025 katika Kijiji cha Mbuyuni Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ambapo bei ya juu ikiwa ni shilingi 2,600 na bei ya chini shilingi 2,440 kwa kilo.

Hata hivyo chama hicho cha Mamcu kimefanikiwa pia kuuza zao la choroko zaidi ya tani 75 kwa shilingi 1,320 kwa kilo moja.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!