Nilikuwa na ndoto kubwa ya kuwa mjasiriamali aliyefanikiwa. Nilifungua duka la kuuza nguo za wanawake katikati ya jiji, nikiwa na matumaini kuwa litakuwa mwanzo wa uhuru wa kifedha.
Kwa mwezi wa kwanza, biashara ilikuwa nzuri wateja walikuwa wengi, bidhaa ziliuzwa kwa kasi, na kila mtu alikuwa akinipa pongezi kwa ubunifu na nidhamu yangu ya kazi. Lakini haikuchukua muda mrefu kabla ya mambo kubadilika ghafla.
Kila mwezi, siku za mwanzo zilikua nzuri, kisha kwa mshangao biashara ingeporomoka kabisa. Wateja walikoma kuja, bidhaa zilikwama dukani, na fedha zilianza. Soma zaidi hapa.