Latest Posts

Binti aliyekuwa akichekwa na kuitwa ‘mshinda njaa’ apata mchongo, sasa anamiliki mabasi

Kuna wakati unafika unahisi hata Mungu amekusahau, hasa unapoona wadogo zako uliowatangulia shule wanapata kazi na kuoa au kuolewa, huku wewe ukiwa bado unategemea elfu mbili ya vocha kutoka kwa shemeji yako.

Mimi naitwa Neema, mkazi wa Uyole, jijini Mbeya. Nilimaliza Shahada yangu ya Maendeleo ya Jamii (Community Development) tangu mwaka 2018, lakini maisha yangu yakawa ni ya kusubiri miujiza isiyotokea.
Nilikuwa naishi kwa kaka yangu, na mke wake alianza kuniona kama kero. Maneno ya kashfa kama “msomi gani unashinda unakula tu” yalikuwa chakula changu cha kila siku.

Umri wangu ulikuwa unakaribia miaka 32, na kila mwanaume aliyenitaka alikuwa ananiona kama mbeba mizigo kwa sababu sina kazi. Nilianza kupoteza matumaini, nikaanza kuvaa nguo zilizochakaa na kujichimbia ndani kwa aibu ya kuchekwa na majirani.

Siku moja nikiwa naperuzi mitandaoni kwa huzuni, nilikutana na ushuhuda wa kijana mmoja aliyesaidiwa na mtaalam wa tiba asilia mwenye nguvu kutoka Kisumu Town, Kenya, Kipemba Doctors.

Alisifiwa kwa uwezo wake wa kusafisha nyota zilizofubazwa na husuda za ndugu na majirani. Niliamua kujilipua, nikachukua namba yake ya simu +254 708 798256 na kueleza masaibu yangu yote.
Mtaalam huyo alinijibu kwa sauti ya mamlaka na matumaini. Aliniambia kuwa milango yangu imepigwa kufuli na watu wa karibu wasiopenda ninyanyue kichwa.

Alinifanyia tiba ya “kufungua vifungo” na kusafisha nyota yangu ili nionekane na wenye kutoa fursa. Wiki tatu hazikuisha, nilipokea barua ya kuitwa kazini kwenye mradi mkubwa wa serikali wa kuwezesha wanawake kiuchumi mkoani Iringa kama mratibu mkuu.

Leo hii, mimi ndiye mkombozi wa familia yetu. Maendeleo niliyopata ndani ya muda mfupi yameacha watu vinywa wazi: Nimenunua mabasi mawili ya abiria (Coasters) yanayofanya safari za Mbeya-Tunduma, nimejenga nyumba ya kisasa ya vyumba sita kwa ajili ya wazazi wangu kule kijijini, na nimefungua ghala kubwa la mchele na mahindi ambalo linasambaza bidhaa nchi nzima.
Yale maneno ya kashfa yamegeuka kuwa sifa. Kama unahisi umekwama na maisha hayasogei, chukua hatua ya kumuona mtaalam huyu leo.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!