Kampuni ya Gf Trucks & Equipment’s Ltd imeungana na chama cha wachimbaji madini wadogo Femata katika safari ya nchini Canada kushiriki maonyesho ya Teknolojia ya madini nchini humo
Gf ambao ni walezi wa wachimbaji hao leo imewapa pongezi na mkono wa Baraka katika hatua hiyo ya kupata mualiko wa kushiriki maonyesho makubwa nchini Canada
Wakiwa nchini humo watapata fursa ya kujifunza teknolojia mbali mbali mbali zitakazosaidia kuweza kuyapa thamani madini yetu hasa Madini ya lithium na
Cobalt yanayotumika kutengeneza betri za magari hali itakayosababisha kuwa na wataalamu na kusaidia viwanda vyetu vya ndani vya kuunganisha magar kwa kuwa na uhakika wa malighafi nchini (Low material)
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu mkuu wa chama cha wachimbaji madini wadogo FEMATA , wakati wa hafla ya kuwaaga na kuwapa Rogers Micheal Sezero alisema anawashukuru kwa kuwashika mkono katika safari yao kwani jitihada zao zimekua zikichangia ukuaji wao siku hadi siku na kupelekea wachimbaji kukua
Gf wamekua na mpango malumu wa kuwakopesha vitendea kazi wachimbaji wadogo na sasa wengi wao wachimbaji hawameweza kumiliki Mitambo na magari kutokana na mpango rafiki wakuwakopesha vitendea kazio badala ya fedha hii imewasaidia wachimbaji wengi alimaliza Rogers
Mmoja ya wachimbaji na mwenyekiti wa safafari ya wachimbaji nchini Dr Benard Joseph alisema makampuni mengi wamekuwa wakifanyanao biashara lakini tunapokuwa na jambo letu GF wanakuwa wa kwanza kutukimbilia kama sasa tunaondoka nchini tunaenda kuitangaza FEMATA kwani kama unavyoona wametupa mahitaji muhimu yoote ya safari na hawajatuacha tunapowafata kwa jambo dogo na kubwa wamekua wakitusaidia Pia kupitia mpango wapo wa kufundisha na wachimbaji na madereva nimekuwa nimmoja wapo wa wanufaika na safari hii naenda nchini Canada kuongeza ujuzi wa kile nilichojifunza kupitia mafunzo mbalimbali yalioandaliwa na kampuni hii alimaliza Joseph
Nae Mkurugenzi wa masoko na Mawasiliano wa kampuni ya GF Salman Karmali alisema wakiwa nawaadhimisha miaka 19 ya kampuni ya GF wameona kama sehemu yao ya kurejesha kwa jamii waeamua kuwashika mkono FEMATA kwa kuwawezesha safari yao nchini Canada kujifunza Teknojojia ya madini
Imekuwa faraja kwani wao kabla wamekua na mpango kama huu wa kuwawezesha wachimbaji kwa kuwandalia semina katika maeeo mbali mbali ya madini ikiwemo Geita,Mwanza,Songwe ,Songe na Lindi sehemu ambayo kuna migodi
Kupitia semina hizo tumeweza kuwafundisha madereva na waendesha mitambo zaid ya 1000 kutoka katika makampuni tofauti ukizingatia magari na mitambo ya sasa inateknolojia tofauti hivyo ni muhimu kujifunza siku hadi siku GF ambao ni wauzaji wa magari ya mizigo ya FAW na mitambo ya XCMG inajivunia ksherehekia miaka 19 kwa kuwa na kiwanda cha kwanza nchini cha kuunganisha magari kilichopo kibaha mkoani Pwani