Latest Posts

HAKIMILIKI YASABABISHA MIGOGORO 136 KWA WASANII

Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Doreen Sinare amesema mara kadhaa imekuwa ikiibuka migogoro mbalimbali kwa wasanii kwenye hakimiliki, na hata ikijitokeza hadi nje ya mipaka ya Tanzania, na kwa kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita COSOTA imefanikiwa kupokea jumla ya migogoro 136 na kusuluhisha migogoro 118.

Sinare ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, Ijumaa Machi 21, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari- Maelezo jijini Dodoma.

Amesema, migogoro 10 kati ya hiyo haikumalizika na ilifunguliwa kesi mahakamani na migogoro 8 inaendelea.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!