Latest Posts

Hata ukiumizwa sana, bado kuna nafasi ya kupata mume bora!

Jina langu Shamira kutokea Tanga Mjini, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 nilikuwa kwenye mahusiano miaka mitano huko nyuma, imekuwa miaka miwili tangu uhusiano wangu wa miaka mitano kumalizika.

Baada ya hapo tena nilimpata kijana anbaye kwa jina aliitwa Jonson ni kijana mstaarabu sana nilianza nae mahusiano nikawa najisemea moyoni huyu ndiye atakaye kuwa mwanaume wa ndoto zangu.

Niliishi naye kama miezi sita tukawa tunapendana, mmi nampenda na yeye ananipenda siku zikapita miezi ikaenda.

Siku moja aliamka asubuhi na kuniambia mke wangu….Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!