
Hata hivyo, mwaka jana lilitokea jambo baya nyumbani kwetu likihusisha dada wa kazi na mume wangu, msichana huyu alichukua nafasi yangu kama mke, kuna kipindi hufua nguo zake za ndani na kuzianika bafuni ambapo mume wangu huoga pia.
Wanaume wengi kwa bahati mbaya wana udhaifu mkubwa hasa pale wanaopoona nguo ya mwanamke, mume wangu alijikuta amezama katika penzi na dada wa kazi, wakawa wanafanya yao bila mimi kujua. Soma zaidi hapa.