PICHA:
Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mchakato wa kuanzisha Dawati la Jinsia la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mh. Neema Lugangira Tarehe 25 Mei 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya UWT jijini Dodoma ameongoza kikao cha hatua za Mwisho za ukamilishaji wa Mchakato huo unaolenga kutekeleza takwa la Sheria ya Vyama Vya Siasa ya mwaka 2024.