Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana.
Ndivyo maisha yalivyo, wakati mwingine hayakupi kile unachota na wakati mwingine yanakupata ambacho hukutarajia, ndilo fumbo kubwa ambalo lipo katika maisha ya kila siku hapa duniania
Jina langu ni Jumanne kutokea Kigoma, mwaka 2017 nilipata kazi katika kampuni mmoja ya kimaaifa ya kuuza vinywaji baridi, kwa hakika kazi hii ilikuwa ni nzuri na. Soma zaidi hapa