Latest Posts

Nilivyosota kusaka kazi ya Udaktari hadi nilipokuja kupata mwanga

Nilijitahidi mno kutia bidii katika masomo tangia nipo shule ya msingi ili niweze kujiunga na shule ya upili ya ndoto zangu ambayo ni mmoja wapo wa shule za kitaifa iliyopo Nairobi nchini Kenya.

Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea Chuo Kikuu, nikiwa shule ya upili nilijitahidi hadi baada ya miaka minne nikahitimu na kupata alama nzuri zilizoniwezesha kusonga mbele.

Baada ya kuhitimu Chuo, mtalaa ulinihitaji kwenda katika mafunzo ya vitedo kwa muda wa mwaka mmoja, nilifanya hivyo na baada ya muda nilianza kutafuta kazi.

Kila nilipojaaliwa kupata kibarua katika hospitali yeyote, sikuweza kudumu hata wiki mbili, nilijikuta nafukuzwa kazi bila kujua ipi sababu, nilijaribu kuwaza na kuwazua mbona yanikumbe haya yote wakati…Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!