Latest Posts

Mke kanikimbia na kusema mtoto sio wangu!

Nimekaa na mke wangu kwa miaka mitano bila ugomvi wowote na hakujawahi kuwa na tuhuma zozote za usaliti kati yetu, pamoja tuna mtoto mwenye umri wa miakaminne sasa, amekuwa akiniita Baba ila mwezi uliopita nilishangaa mama yake kumpiga kwa kuniita Baba.

Nilimuuliza mke wangu kwa nini alikuwa akimpiga mtoto, aliniambia wazi kuwa mimi sio Baba yake, niliinuka kutoka mahali nilipokuwa nimeketi na kumpiga kofi kabla ya yeye kunitukana matusi ambayo siwezi kuyasema hapa.

Baadaye alikimbia na kwenda kuishi na mtu mwingine katika mji wa Same ambapo anafanya kazi, nilijaribu kumtumia SMS na aliniambia alikuwa ameenda kukutana na baba wa mtoto wake. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!