Latest Posts

Mume wangu alinogewa na house girls na kuicha ndoa yetu    

Jina langu naitwa Farida mkazi wa mkoa wa Katavi, umri wangu ni miaka 38, nipo kwenye maisha ya ndoa miaka 10 sasa na mume wangu Yazidi, tulifunga ndoa ya kimila ambayo ilihudhuriwa na wazazi wa pande zote mbili.

Baada ya kuolewa mume wangu alinifungulia biashara ya kuuza nguo kwa ajili ya kuweza kujipatia fedha ndogo ndogo kwa ajili ya kujinunulia baadhi ya vitu kama mama wa nyumbani.

Nilijituma kadiri ya uwezo wangu kuendesha biashara ile vizuri na Mungu aliniwekea mkono wake, kila siku nilikuwa natengeneza faida na siyo hasara. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!