#AD
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji @ormipango_uwekezaji inaendelea na zoezi la kukusanya maoni kwa lengo la kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
Wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wa maendeleo mnakaribishwa kutoa maoni yatakayowezesha kuandaa MKUMBI II unaoakisi hali halisi.
Ili kutoa maoni yako tafadhali bofya link katika Bio yetu ambayo itakupeleka katika dodoso au tuma email kupitia : maoni.mkumbi@planninginvestment.go.tz
Au Bofya hapa kujaza Dodoso
https://mkumbi2maoni.planninginvestment.go.tz/questionnaire/qn
Au Scan QR katika bango hapo juu
Maoni yako ni muhimu katika kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)