Latest Posts

CHAUMMA YAENDELEA KUVUNA WANACHAMA, ALIYEWAHI KUWA KATIBU WA CHADEMA JIMBO LA DODOMA

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeendelea kuvuna wanachama kutoka vyama mbalimbali hasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Julai 04, Naibu Katibu Mkuu CHAUMMA TAifa Benson Kigaila, Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Aisha Madoga pamoja na uongozi wa CHAUMMA mkoa wa Dodoma walizungumza na wanachama wapya wa CHAUMMA wa Dodoma Mjini kutoa mwelekeo wa maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa October 2025.

Katika wanachama waliowapokea siku hiyo ni pamoja na Andrea Uisso aliyewahi kuwa katibu wa CHADEMA Jimbo la Dodoma Mjini na baadae akawa mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa akiwakilisha Jimbo la Rombo.

CHAUMMA inaendelea kutanua wigo wa wanachama kwa kuvuna wanachama zaidi hasa wale wanaohama kutoka CHADEMA.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!