Latest Posts

HAKUNA MWENYE UBAVU KUZUIA UCHAGUZI: SUBIRA MGALU

 

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Pwani Subira Mgula amesema hakuna mtu mwenye ubavu wa kuzuia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika baadae mwezi oktoba mwaka huu (2025)

Subira ameyasema hayo akizungumza na wananawake wa Mkoa wa Pwani katika maadhimisho ya kilele cha siku wa wananawake duniani ambapo amewasihi wanawake kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi.

Subira ameongeza kuwa “REFORMS” (Mabadiliko) yamekwisha fanywa na Tume huru ya uchaguzi ikiwemo kutaja ukatili wa kijinsia kuwa kosa la uchaguzi pamoja na kuvielekeza vyama vya siasa kutenga nafasi za uwakilishi kwa Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!