Latest Posts

KUNAMBI AWANADI WAGOMBEA WA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI

Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC), Jumatano tarehe 17 Septemba 2025, amemnadi wagombea wa CCM nafasi ya Udiwani kata ya Migori Ndg. Fatma Moge, huku akiwaomba wananchi kumchagua kwa kura nyingi Dkt. Samia Suluhu Hassan na Ndg.William Lukuvi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Isimani Wilaya ya Iringa Vijijini, kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.

 

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!