Latest Posts

MWENYEKITI UVCCM MARA AWATAKA VIJANA KUFUATA SHERIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo badala yake wao wawe sehemu ya kutetea na kusaidia wanapohitajika ili kujijengea heshima Wakati wote.

Mary ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana katika Wilaya ya Tarime Mkoani mara Wakati wakuhitimisha ziara Yake ya Kusikiliza za nakutatua kero mbalimbali kwenye Mkoa huo.

“Mnapovas hizo Unifomu acheni kutunisha misuri fanyeni kazi zenu kwa kufata Sheria msijione nyinyi mnahaki kuliko wengine hapana zingatieni maadili na miiko yenu mnapokuwa kwenye jamii zenu”Mary Daniel Mwenyekiti UVCCM Mara.

Katika hatua nyingine amewataka Vijana Kuchagamkia Fursa za vikundi zinazotolewa na Serikali kuhakikisha wanaunda vikundi na vyenye malengo ya kusaidiwa na kunufaika na mikopo hiyo.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!