Latest Posts

RC MARA AWATAKA WAZAZI KUINYANG’ANYA MALEZI YA WATOTO MITANDAO YA KIJAMII

Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewaomba waumini wa madhehebu mbalimbali pamoja na viongozi wa Dini kurejea katika maadili Bora ya malezi kwa watoto na familia badala ya kuachia mitandao ya kijamii.

Rc Mtambi ametoa kauli hiyo Wilayani Tarime Mkoani mara katika kanisa la Mtakatifu Paulo la Agrikana Dayosisi ya Tarime Wakati wakuwekwa wakfu Askof John Msuma Nyaitara alipo mwakilisha Rais DKT Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Tunakipindi kigumu ambacho kizazi kimeingiliwa na utandawazi na katika familia Nyingi Wazazi wamekuwa na ubuze wa majukumu ya kimaisha matikeo Yake watoto wetu kwenye jamii wameachwa wakilelewa na mitandao ya kijamii tunapata kizazi ambacho tusipoingilia Kati mapema tutakuwa na kizazi cha ajabu siku sinyingi”Kanali Evans Mtambi Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Ambapo aliwaomba viongozi wa Dini kuongoza na kulea jamii katika maadili na mbinu zao zote kutokana na dhama za sasa kuwa hatari kuliko tulikotoka

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!