Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kumasaidia kulekebisha Nyumba yake ili kuondoka na mateso anayoyapitia kwa sasa.
Baada ya ombi hilo la Bibi huyo amemuagiza Katibu Tawala Mkoa wa mara Gelard Kusaya kuhakiki anapeleka mafundi ilikufanya tathimin na kuhakikisha jitihada za kumsaidia Bibi zinaanza mara moja.
Kwa upande wake Bi.Evelyn Msuba amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa Upendo wake ambapo amesema atahakikisha anamuombea kuwa na moyo wa kusaidia