Latest Posts

SERIKALI YAKERWA WASTAAFU KUTOLIPWA KWA WAKATI

 

Serikali imeonyeshwa kukerwa na kitendo cha baadhi ya Taasisi za Wizara ya Uchukuzi kutolipa kwa Wakati madeni ya watumishi hususani Waastafu huku ikizitaka taasisi hizo kufanya uhakiki na uchambuzi wa madeni ya michango ya watumishi kwenye mifuko ya jamii na kuanisha mikakati ya ulipaji wa madeni hayo.

Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile leo Alhamisi Machi 20,2025 Jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo la mwaka 2025.

Amesema zipo Taasisi ambazo bado Wastaafu wamestaafu nawanadai stahiki zao jambo hilo halikubaliki duniani na hata mbinguni.

Lengo la Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi ni kupitia utekelezaji wa bajeti iliyopita ya 2024/2025 na bajeti ijayo ya mwaka 2025/2026.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!