Latest Posts

Kila Mtu Aliyenikopa Hakuwahi Kulipa Mpaka Nilipoondoa Laana na Kukuza Ulinzi wa Mali Yangu

Kwa miaka mingi nilihesabika kuwa mtu mkarimu sana. Nilikuwa natoa mikopo midogo midogo kwa marafiki, jamaa na hata wafanyakazi wenzangu. Sikuwahi kuwapa masharti magumu kwa sababu niliona ni jambo la kawaida kusaidiana, hasa kwa wale tuliokaribiana.Lakini jambo moja lilinishangaza: karibu kila mtu niliyemkopesha pesa hakuwahi kurudisha. Wengine walikata mawasiliano, wengine wakabadilika na kuniita mchoyo hata kabla hawajalipa. Ilikuwa kama vile nawapoteza watu mara tu wanapokopa kwangu.

Nilianza kuona hali hii inajirudia kwa njia ya ajabu. Kuna mmoja nilimkopesha laki tano mara tu baada ya kupata pesa hizo, alianza kusema mimi ni mtu wa kulazimisha, na alipotosha watu wengine kuwa nilimdai pesa ambazo…Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!